Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
- Thread starter
- #541
Mndengereko hivi ndoa yako humu ndani ni ipi maana naona unataka kuchukua tabia za ubazazi kupenda penda mara Khantwe, mara miss chagga, mara miss neddy hebu kuwa wazi utafiti nakuangalia tuu
Mhusika mwenyewe hapo hujamtaja. Yupo katulia tuli
Cc: Eshy m.s
Last edited by a moderator: