I miss MMU and JF in general

Khantwe naona unataka kutolewa damu naona dalili za kumvizia mume wangu Mr Rocky ukome... kama Ntuzu akutoshi naomba uende kw Mndengereko ukome kabisa kumtaja Mr Rocky koma kabisa

Kwa hyo mimi ndo umesikia wa kuokota wake za watu wasiotesheka hapana tafadhali Eshy m.s ananitosha tafadhali.


Hahaaa mkuki kwa nguruwe eeh? Kama kwa Ntuzu tunabanana na kwa Mr Rocky tutabanana tu
Kwani wanaume wameisha mpk muwagombanie by the way haya mapenz ya miss chagga na Mr Rocky sijui hata yameanza lini na sijui kama yana baraka ya pande zote mbili.
 
Last edited by a moderator:

Kwa kweli nimepitwa na mengi ila kuna ndoa nyngne kabisa naziona hazina baraka wala malengo zipo kama fashion tu
 
Last edited by a moderator:
Hata nami nimewamiss sana watu wangu wa nguvu humu.

Tuko pamoja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…