I miss MMU and JF in general

Welcome back brother....... We missed you big time!!!!

Nafurahi sana kukuona tena apa kaka. Cheers!!!!

 
Mndengereko na utafiti nyie kweli ni waarabu wa pemba
Umenionea wapi mtu wangu Tized na Ntuzu na huyu Excel mbona ana fujo sana
Mwambie utafiti kuwa mwanae miss chagga ni mchepuko wangu na naupenda sana



Huyu utafiti baada ya kuchukua ng'ombe zangu buku kwaajili ya Mahali ya binti Yake miss chagga akapotea! Zimeisha Hizo Mahali Sasa karudi tena amkamatishe mwingine binti yake kimeo!

Mr Rocky Yani hapo kwa miss chagga komaa peke yako maana ata Bulldog alishachoswa Na mizinga!

Mimi niko Na Kasinde wangu tunapendana. Alah! Kumbe Kasinde Ni Wa Yule mganga Wa dawa za mapenzi Tized Nilikua nimesahau!

Khantwe Njoo bby uwasalimie Shemeji zako!
 
Last edited by a moderator:

Nimenuna....hadi ufute kauli
 
Last edited by a moderator:

wajinga ndio waliwao nani kasema baba yangu utafiti hapendi hela loh...... siye ukileta pesa hatukatai tunakula baada ya hapo kafie mbele na Khantwe wasiojua hela.... Mr Rocky baby vipi mkeo kakubana weekend zamu yangu sasa
 
Last edited by a moderator:
Nikisema nimeokoka, mbona haminielewi? nikisema nimependwa miee mbona mwanishangaaa......by Christina Shusho.

Unapendana na naini? sijakusikia vizuri hebu ongeza sauti kidogo mkuu!!!!!!!

 
wajinga ndio waliwao nani kasema baba yangu utafiti hapendi hela loh...... siye ukileta pesa hatukatai tunakula baada ya hapo kafie mbele na Khantwe wasiojua hela.... Mr Rocky baby vipi mkeo kakubana weekend zamu yangu sasa

miss chagga bado mke yuko shamba anavuna mahindi kurudi mwezi ujao. Weekend yote ni yetu na mwambie baba yako utafiti akae kimya siulize wala kuhoji lolote
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
miss chagga bado mke yuko shamba anavuna mahindi kurudi mwezi ujao. Weekend yote ni yetu na mwambie baba yako utafiti akae kimya siulize wala kuhoji lolote

nitamwambia ila usijeniambia tu nimpige ... unajua nakupenda unaweza niambia nimpige baba yangu hapana kwa kweli .... i love mya sweety dady utafiti....
 
Last edited by a moderator:
pole my luv nilitaka ubadilike maana ulizidi kimo
asante kwa ujumbe, hivi kumbe nna michepuko mingi eenh?

cku moja ukanizodoa wee mpaka ni kashindwa kujibu post yako..!

we bac tu!
 

Nina majority shares kwa miss chagga nyie pigeni kelele tu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…