Wewe ni ke au me ?Duuuuh kua single ni shida saa ingine...yes unakua free at times but being with someone pia ina umuhimu wake.namiss kudeka,kuulizana uko wap, hangout na kuzinguana sometimes. .hahahahaaa (msipanic basi..i just say wat i fill maana kuna watu wana maushauri ya kuumiza roho).
I miss being bachelor 😀😀 kufanya nacho kitaka sizinguliwi, akijipendekeza nabandua, holiday kila mwaka Spain, Italy, dubai, Canada, sasa nipo kwangu nalea vijana☺
Tubadilishanee basii 😂😂😂😂😂
Duuh !! hicho ni only 7% ya relations/friendship....!! ati eeh lilymashy ??kwa ufupi, umemiss kuzini, si ndiyo??
majibu kama hayo ndiyo chanzo cha usingle!!Kuna lily mwanaume?
Mp means?