Jibu lako mujarabuMi nahs swali sio lazima liwe na question mark (?) sometimes statement inaeza ikawa swali. Majibu ni mengi sana mfano unaeza jibu
•"I love u more"
•" Hearing you say that makes me so happy."
•"It means so much that you're opening up to me like this. Thank you."
•"I'm so happy you told me"
Response hutegemea na muda mwafaka.
If I could see you againI love you
Duuh...wewe utaendelea na uccm wako na mie nitaendelea na upinzani wangu, ila tutakuwa wapenzi, I love you ibra87
Ibra wewe ni sumaku.!hapo nipo tayari! Nakupenda pia habari ya hapa. Nataka nikufanye uwe mwanamke mwenye thamani kubwa kwangu.. Hakika hutajuta kunikabidhi penzi lako... Nakupenda pia @habari ya hapa
hapo nipo tayari! Nakupenda pia habari ya hapa. Nataka nikufanye uwe mwanamke mwenye thamani kubwa kwangu.. Hakika hutajuta kunikabidhi penzi lako... Nakupenda pia @habari ya hapa
bora umerudi huku maana kule ulikuwa unapotea.. Vipi umeshaolewa ama?
Kingereza unajua lakini???
Kama unajua unajua jibu
mmmhh!!!Uko mawindoni ibra!!!!
I Love You @King'asti
I love you sio swali
Unaikumbuka ahadi yetu?Nimelavika kwa kweli.
Asante sana, manake upendo ni amri ya kimbingu
Unaikumbuka ahadi yetu?
Hahahaaa *"PETE"* nadhani itafaa zaidi kama ikiwekwa kwenye first priorityPending files za mwaka 2015 nilidelete. Naupload za 2016. Hebu nikumbushe kama inafaa tuiweke 2016?
Hahahaaa *"PETE"* nadhani itafaa zaidi kama ikiwekwa kwenye first priority
mkuu futa kAuli yako...Huyu sio maharage wala nini,Thamani yake ni YA JUU ZAIDI YA TANZANITEDah, jamaa we mkali yaani hajachomoa au ni maharage ya mbeya
mkuu nampenda sana huyu binti na sipo tayarii kumpotezaDuuh...
Ibra wewe ni sumaku.!
wewe kinakuuma nini, wajua nimetoka nae wapi huyu, tena ututue babu weeDah, jamaa we mkali yaani hajachomoa au ni maharage ya mbeya