comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,459
- 11,525
Tokea dunia imeanza sijawahi kuona watu wenye roho nzuri kama mods wa JF ♥️
Umekutana na mods bar amekununulia bia amekunyima pesa ya kula, umekuja kumsifia huku 😂Tokea dunia imeanza sijawahi kuona watu wenye roho nzuri kama mods wa JF ♥️
Am not rich, am not poor, MODERATEUmekutana na mods bar amekununulia bia amekunyima pesa ya kula, umekuja kumsifia huku 😂
Nitakurudisha mbaga same mamenUmekutana na mods bar amekununulia bia amekunyima pesa ya kula, umekuja kumsifia huku 😂
Inasikitisha sana mkuuNitakurudisha mbaga same mamen
Bwashee kama unalijua chimbo lake lilipo nenda ukamuokoe asije kugeuka na boxer kichwani badala ya kiunoni.Bwashee pombe sio chai ,usiseme nimekuonea wivu
Harmful ⭐Huu Uzi usifutwe uishi milele na milele
Daah jf 🙌🏾😅😅😅
Active njoo pm weka namba yako ya mpesaWakati mwingine pasipo kumumunya maneno ni kweli mods ni watu wema sana,kwana wanalinda faragha zetu,bila wao jukwaa haliwezi kufikika! Kuna nyuzi zinaandikwa humu ukiisoma unajisemea hii asiione mwanangu,unakaa kidogo mods wanaifuta,ifike mahala hawa mods tuwape maua yao cc Active and others staff member.