Punguzeni kutupiga mizinga sasa![emoji1]
Hahahah usjal nshamuambia huyo still.bado one wrong doesnt make right mwanamke mmoja hata kama alikua na roho mbaya ama roho ya kutu ama alikua hana mapenz kwangu basi sio lazima niwachukie wanawake wazuri..koz najua wengi ni wazuri wanapenda kweli na wapo somewhere hata humu wapo they are loving anda caring...romantic vinadeka hivoo ...on bed wanajitahidi wamo ...vikipenda vinapenda kweli na hua wanapendwa pia wakpata real,caring and loving man ..nawapendaga sana😀
We nawe!, please don't spoil the party. 😀
[emoji11]Aww!, shweet of you.
wewe unapigwaga mzinga na nani kwa mfano?Punguzeni kutupiga mizinga sasa![emoji1]
Hahahah usjal nshamuambia huyo still.bado one wrong doesnt make right mwanamke mmoja hata kama alikua na roho mbaya ama roho ya kutu ama alikua hana mapenz kwangu basi sio lazima niwachukie wanawake wazuri..koz najua wengi ni wazuri wanapenda kweli na wapo somewhere hata humu wapo they are loving anda caring...romantic vinadeka hivoo ...on bed wanajitahidi wamo ...vikipenda vinapenda kweli na hua wanapendwa pia wakpata real,caring and loving man ..nawapendaga sana
[emoji5][emoji5][emoji5][emoji7]Tunapenda sana wanaume kama wewe.
Halafu mnakuwaga wachache sana, ndo tatizo.
Keep't up.
Na mimi napenda wanawake kama wewe wanaotambua hilo uliloliona my dearTunapenda sana wanaume kama wewe.
Halafu mnakuwaga wachache sana, ndo tatizo.
Keep't up.