I love you, but let's do it offline...

I love you, but let's do it offline...

Binafsi naonaga kama ushamba fulani ingawa sometimes nawaoneaga wivu wanaoweka picha zao na wapenzi wao kwenye social media...Ntajaribu one day..

Hahahaha nashukuru umekuwa mkweli. Sometimes inaleta wivu jamani, tena usiombe huo muda wewe upo single au ndo hata hujielewi, afu watu wapo busy kuweka picha na status za malovee,... utahisi wanakufanyia makusudi, kumbe watu wanajifanyia yao tu kwi kwi kwi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom