Kumbe nyie ni makada, naona Kapelo la chama dume
Mpwa mbona hakuna hata kilainisha koo
Kwenye pics Naona Senior baharia yupo na kademu kake
Mambo hayo, mahabba mahabbati..... Kuchi Kuchi hota hai.... Kila la heri
j3 ndio hiyoo
Umemdukua udukuzi wa Kila aina, aiseeee Babu wewe ni Moto mu chibuyu 🔥 🔥 🔥🔥 🔥🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥Tumetoka mbali sana na mahabuba wangu
View attachment 1247075