Hawataishia hapo mwisho kabisa watasema hilo tangazo lake apeleke jukwaa husikaWatakuambia wewe ndio anitha mwenyewe...watafika mbali zaidi na kusema kwamba unapiga kross na kuikimbilia ukafunge mwenyewe...hawatoshia hapo watasema una Id ngapi jf..wataenda mbali zaidi nakusema weka picha ya anitha.
Wengine watasema shule zinafunguliwa lini?[emoji23][emoji23][emoji23]Hawataishia hapo mwisho kabisa watasema hilo tangazo lake apeleke jukwaa husika
Hilo ndio lengo lake mkuu si ajabu yeye ndo Anitha uyo.Hii mbungi yote si ungeidondosha kwenye inbox ya mrembo Anitha...
Huku Jeiefu utawafanya mabazazi waanze tafuta koneksheni kujua Anitha ni nani...
Hujajifunza tu toka kwa mweusi Nikki
Basi asubiri walume ndago wamfutie wayaHilo ndio lengo lake mkuu si ajabu yeye ndo Anitha uyo.