Hata Mimi nampenda Sasa sijui kimetokea kitu gani.Yaani Instagram Kuna Watu hatumuoni.Wengi wa nalalamika ila alikuja siku moja kwenye page yake ingine kwamba aliwapunguza wapya.Sijui kwa nini.Ila nitampata tu kwa njia ingine. Ukweli Mange anaongeza urefu wa kuishi Hapa Duniani.