I love this (proudly Tanzania)

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
Nimeipenda Jamani du! kilimanjarocar.jpg
 
Huyo ni muumini mzuri wa uzalendo Tanzania, anastahili tuzo. wazalendo kama hawa wanaangushwa na ufisadi wa viongozi.
 
Wachaga! Wenye pesa zetu. Special Order Hiyo Kiwandani. Usiulize gharama yake, utazimia.
 
Wabongo bana hapa badala ya kujiuliza tunafaidikaje na hili, tunaanza kushangilia, hahahah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom