I love him

Price

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
1,502
918
Habari zenu Guys, miss u so much.

Natumaini wote mko poa.

Jamani mwenzenu nimempenda Mkaka, mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi, natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.

I don't know what to do.

I am in love.
 
Sa ndo hadi unashindwa kufanya hadi kazi, ukifukuzwa je? Anyway jitahisi umuoneshe lugha ya picha hadi akuelewe, sasa sijui akikutolea nje itakuwaje mmmh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bora uendelee kushindwa kufanya kazi, kuliko umtamkie halafu akukatae ofisi utaiona chungu
 
You got crush on him! That's very far to say you're in love, anyway jitahidi kumzoea atangudua kitu. Ukiona hakutokei ujue Hana interest na wewe au ana mtu wake, Goodluck.
 
dem mmoja alikua ananiletea swagger za kuinama mbele yanu,kunionesha mapaja,na kifua..,
nikampa finger sku moja...ilibak kidogo apoteze faham
 
dem mmoja alikua ananiletea swagger za kuinama mbele yanu,kunionesha mapaja,na kifua..,
nikampa finger sku moja...ilibak kidogo apoteze faham

Hahaha...finger kwenye papuchi au finger ishara?!
 

hivi na nyie huwa mnapenda kweli!??? au umesikia mkaka wa watu anakaribia kupandishwa cheo....
 

Unajua hata mimi nilistukia...Yani ulikuwa unaniangalia kimachale sana..

We niambie bana....Au tusubiri J/tatu
 
Jenga nae urafiki ili upate confidence ya kuongea nae...then ukisha kuwa confident enough mwambie ya moyoni...sio kesi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…