Ni kweli!Hiyo heading iko sawa kabisa.
Jamaa ametumia lugha ngumu kidogo. 'Liken' ni sawa na 'compare' au kwa kiswahili kufananisha/kulinganisha.
Kumbe hata hapa JF ni tatizo. Tatizo ni uzembe wa watu kutotaka kujifunza. Hata wanapoona neno wasilolijua, hawana akili hata ya kutumia google.com! Wako mtandaoni na kuna kamusi ndani ya mtandao. Kwa mtindo huu, ufahamu unaendelea kushuka chini kila siku.