i like this picture

02+Tembea+Tanzania.jpg
 
Ivuga huku ni wapi.....naona kama patanifaa kwa hanemuni
 
Huyu Shyrose alikuwa anamchanganya mzee wa watu akili, badala ya kumsaidia kuziba pacha ya baiskeli yake yeye anakaa kihasara hasara mbele yake!

sijuhi alipokuwa anakaa alimwomba mzee hasiangalie ama alikaa tu? kuomba kura ni kaaazi kwelikweli

Hii picha inaonyesha kabisa hali halisi ya Tanzania, Huyo mzee ilikuwa ni muda wake wa kupumzika na kula pension, lakini ana bonge la zigo kwenye biskeli na keshapata pancha, labda wakina Shyrose walikutana nae njiani tu, duu haya maisha! inauma sana
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom