Aisee mimi huwa naburudika kwenye foleni ya ferry....Huwa nashangaa masaa mawili yamepita nasubiria pantoni bila kuchoka kwa sababu ya warembo wanaopita kupanda pantoni!!!! Hawa akina housegirl Heaven Sent atoto miss chagga wanafanya dunia iwe sehemu nzuri sana...
Ha Ha Haa Basi Unapenda R&B Kama mimi.enzi za miaka ya 2000'S
Aisee mimi huwa naburudika kwenye foleni ya ferry....Huwa nashangaa masaa mawili yamepita nasubiria pantoni bila kuchoka kwa sababu ya warembo wanaopita kupanda pantoni!!!! Hawa akina housegirl Heaven Sent atoto miss chagga wanafanya dunia iwe sehemu nzuri sana...
Imagine Pale Posta Na Mwenge Wasingekuwepo.Ama Kwenye Daladala Wasiwepo
Sana Tu.Ukienda Hata Club,bar Ambayo Haina Hawa Ni Tabu
Ungetumia "I" miss pretta wengine wana machungu hawawapendi
Imagine Pale Posta Na Mwenge Wasingekuwepo.Ama Kwenye Daladala Wasiwepo
Tuwapende bana.........hebu fikiria dunia ingekuwepo bila wao.......tuwe wanawake wenyewe.........si umbea tu ungejaa.......mi nawapenda kwa sababu wananifurahisha kwa kila nyanja.........
mwaaa mwaaa........wanaume wote..........
Yessir! Mi nipo nao karibu kila siku. With their uniforms on, packed with heavy assets. Cat-walking with killer but innocent attitudes. I just watch, smile, and appreciate the art. My hand's tied.
Kweli kabisa, RnB is my !sh.
Pepo mchafu akutoke