I like them girls

I like them girls

Eeeh wewe humjui RRONDO. Ngoja nisitoe siri za kambi. Ila kama angeweza basi angejenga nyumba yake+ office+ kanisa + Kila kitu palepale kwenye kivuko ili awatizame vizuri wale watoto wakareee

Aheri Yeye Anakaa Tu Anaangalia.Mimi Nakata Tiketi Hata Mara5 Naenda Na Kurudi
 
Last edited by a moderator:
Eeeh wewe humjui RRONDO. Ngoja nisitoe siri za kambi. Ila kama angeweza basi angejenga nyumba yake+ office+ kanisa + Kila kitu palepale kwenye kivuko ili awatizame vizuri wale watoto wakareee

Umenichekesha Heaven
 
Last edited by a moderator:
Hapa Kazi Tu,weka Picha Yako Niione Heaven
Khaaa niweke picha yangu hapa uanze kunicompare na Hao watoto wazuri wa ferry na mwenge sijui? Mbona unataka kuniua kisaikolojia teh
 
Mimi napenda kubanana nao kwenye daladala
 
Na nikikata tiketi ya mabasi ya mikoani napenda nikae na mrembo,safari ya km 60,inapungua na kuwa km 30

Ha Ha Haa Je Ikitokea Ukika Na Bibi Ha Ha Haa
 
Wacha weeee!!! Ila tukiwa dubei marufuku kugeuza geuza shingo la sivyo ukiirudisha utakuta nami nimepotea.
Teh teh..Kweli umeanza kuwehuka..Mbona wachanganya madesa
 
Napita sana chuo UDSM kuwacheki watoto wazuri.
 
Maombi yanahitajika mpendwa, sio kwa mahaba haya(in lowasa's voice)



Yaani wewe ndio inabidi nikupe adhabu maana haiwezekani namquote mwingine huku mawazo yako kwako.

Matatizo yako nayajua..We hauhitaji maombi..u jst nid a doctor..and the good news is, I am the best doctor in town..So usijali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom