I know u'r brilliant but....Let's see how smart you are;

I know u'r brilliant but....Let's see how smart you are;

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
I know u'r brilliant but....Let's see how smart you are;
A Man was found murdered on 19-6-2011 (Sunday
Afternoon) inside his house, his wife called the police,
they asked everyone around a question Police:
where were you when his death happened?.

WIFE: I was sleeping upstairs when the murder took place

COOK: I was cooking in the kitchen

HOUSE GIRL: I went to collect the children from school.

GARDENER: I was cutting the flowers at the backyard.

GATEMAN: Oga sent me to buy newspaper from the junction.

After listening to their answers, the police arrested the
murderer.

Who was the murderer?
 
Police aliwakamata wote.Inaonekana kila mmoja alikuwa anajua wakati jamaa anakufa.Kama wangekuwa hawajui,wasingejibu hilo swali.Au wangesema mimi sijui kwa sababu sina uhakika alikufa saa ngapi.Ila unaposema wakati anakufa nilikuwa na nakatia maua,ina maana unajua mauwaji hayo.Kwa hiyo ni wote walikamatwa ili kuisaidia police
 
Mkuu kama ulimuacha bosi ndani mzima ukaenda mahali mara moja uliporudi ukakuta amefariki ukiulizwa ulikua wapi wakati wa tukio utasema hujui????
Police aliwakamata wote.Inaonekana kila mmoja alikuwa anajua wakati jamaa anakufa.Kama wangekuwa hawajui,wasingejibu hilo swali.Au wangesema mimi sijui kwa sababu sina uhakika alikufa saa ngapi.Ila unaposema wakati anakufa nilikuwa na nakatia maua,ina maana unajua mauwaji hayo.Kwa hiyo ni wote walikamatwa ili kuisaidia police
 
Nina mashaka Oga alimtuma gateman gazeti ili atekeleze mauaji hayo...nashawishika kumfikiria Oga!
 
Who is Oga ? Naanimini ndo muhusika coz alimtuma gateman kununua gazeti li afanikishe lengo lake
 
Back
Top Bottom