I know i'm cute the question is do you know i'm cute?

Hapo kila mtu atakuwa na mtazamo wake
japo kajisifiA mwenyewe.
 
Why should I care..!?? Hahahaaa.
 
Hahah...
Sasa mbona huishi jitizama kwenye kioo kila mara.

Kuanzia sasa hebu katupe hako ka 'pocket mirror' kasiwe kanakupotezea muda...maana we ni m'kyuti atiii

#JustKidding

I dont need anybody's reassurance. I know im cute, whether you admitt it or not!
 
Tatizo sijifaidi banaa. Its unfaira kuwa sijioni. I miss me, kwenye wallet nna picha yangu mwenyewe yaani nikijimiss najiangalia.
Hahah...
Sasa mbona huishi jitizama kwenye kioo kila mara.

Kuanzia sasa hebu katupe hako ka 'pocket mirror' kasiwe kanakupotezea muda...maana we ni m'kyuti atiii

#JustKidding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…