I know am guilty, help me get out of this mess

Mchungaji anamuomba mungu yupi anayebariki muachane na bwana uliyezaa nae badala angemuomba mungu mmbariki ndoa? tazama umeachana na yule bwana ambaye mngeweza tatua matatizo na umeanza kuiba mume wa mtu b care mume wa mtu ni sumu, zinawatoka roho.
 
Mama huli hapo unaliwa tu.... goli tano pia ni ulafi, za nguvu na starehe sana huwa tatu baada ya hapo ni majasho tu

akikuchoka atatumia nguvu hiyohiyo anayotumia kitandani kukuacha

shtuka
 

Hahahahaahaahaaaaa Lara 1 aisee ww ni noma sana, eti kukwangua ukoko kwenye sufuria ni kumbeep mpishi,
 

Mpwa nipe summary
 
yani watumishi mnazuga kuombeana kumbe mna mambo yenu?dah, MUngu atusamehe sn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…