Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,242
- 1,793
Habari wakulu..!
Dakika chache zilizopita nilikuwa napata safari zangu mbili tatu hapa sports pub...
Sasa wakati naendelea kuzibua chupa moja baada ya nyingine, akaja boss flan akiambatana pisi ya kidato kidogo wakakaa karibu yangu huku wakipata wine..
After a moment yule boss sijui alienda wapi ila nikakuta kwenye meza tumebaki mimi na demu, sikutaka kupoteza muda, nikambonyeza binti nakuanza kuflirt, nikampa simu yangu aandike namba yake then boom nikakuta nimerushiwa kizibo kifuani kwangu, nikatrace direction nikagongana macho na yule boss alieambatana na binti, kumbe alikuwa amekaa kwa meza za floor ya juu sijui alienda kufanya nini huko, dingi akanioneshea ngumi, nikampungia mikono miwili huku nikiinama then akanionesha dole gumba, that was that, binti akanirudishia simu fasta..
Nikachukua chupa yangu ya mwisho nikaanza kukata fundo, ghafla yule dingi akarudi kwenye meza yetu, akanipatia simu yake nakunambia niandike namba zangu, i obeyed, akapiga instantly, nikamuonesha simu yangu ikiwa inaitikia call yake, akaonesha dole gumba, i did the same, nikamalizia bia yangu, nikawaaga and i left...
Sijui what's next...!