i live my fully life at JF, sina cha kuficha.
kutoka njee haimaanishi humpendi mwenzio.Ohhhh ushaanza kuwaza kutoka nje hata kabla vumbi la jamaa yako halijapukutika
Kweli wewe unaweza kuvumilia muda wote mpaka jamaa arudi au ndo kwanza utazidisha
Na je kwa kuanza kwako kuwaza kutoka nje unategemea kweli utadumu hadi huyo jamaa arudi
BTW kweli hapo unakiri kuna upendo kwa jamaa yako au unatuzuga
nataka nifanye random sampling tena kwa wasionijuani pm.
pls lolyz nazidiwa na mihemko kufikia wakato flani usiku sipati usingiziooohh maria maria chunga kinywa chako utapokuja kuwa mke wa tatu kwa huyo wa ughaibun usimlaumu mtu,kaa mbali na maeneo yanayokufanya utake kumsalit mwenzio that is unfaithful..... also note NO SECRET UNDER THE SUN!
nataka nifanye random sampling tena kwa wasionijua
No!!Namuonea huruma jamaa yako
it is a physiological wellbeing na si najiendekezaManeno huumba
Duuu..............inawezekana sijui maana ya kupenda!!
Wana jf nawasalim
My boyfriend kasafiri na atakuwa ughaibuni kwa miezi kadhaa.Nampenda sana na niko tayari kuolewa naye hata mkee wa pili in case atarudi na mke
My problem is this:Kaniachia kigari chake (starlet) na hivyo kuniongezea mizunguko isiyokuwa na lazima na tena mpaka usiku, napata mihemko sana na nahisi soon nitateleza na tena naweza jikuta nateleza kwa mkaka wa mtaani kwetu (ofisini haiwezekani 100%)
Naweza hivi: mara mmoja kwa mwezi niwe nakuwa njee ya Arusha with mtu ni mtu provided hanijui na hana hata detail yangu yeyote.Again how i pick this person note that asiwe mtu wa Arusha ili iwe siri kuu
kama mpaka JF mtu anakuwa msiri basi analaanaMTM bado safari ni ndefu aise
BAdo kuna mambo mengi yanaingia humu ambayo dah inabidi tuu uyasome