I have to do...ila isiwe Arusha

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,232
7,043
Wana jf nawasalim

My boyfriend kasafiri na atakuwa ughaibuni kwa miezi kadhaa.Nampenda sana na niko tayari kuolewa naye hata mkee wa pili in case atarudi na mke

My problem is this:Kaniachia kigari chake (starlet) na hivyo kuniongezea mizunguko isiyokuwa na lazima na tena mpaka usiku, napata mihemko sana na nahisi soon nitateleza na tena naweza jikuta nateleza kwa mkaka wa mtaani kwetu (ofisini haiwezekani 100%)

Naweza hivi: mara mmoja kwa mwezi niwe nakuwa njee ya Arusha with mtu ni mtu provided hanijui na hana hata detail yangu yeyote.Again tatizo ni how i will pick this person note that asiwe mtu wa Arusha ili iwe siri kuu

Note:the banned Marytina yupo Arusha, baba mngoni,mama mchagga nitamfikishia ujumbe wowote incase

Ohhhh ushaanza kuwaza kutoka nje hata kabla vumbi la jamaa yako halijapukutika
Kweli wewe unaweza kuvumilia muda wote mpaka jamaa arudi au ndo kwanza utazidisha
Na je kwa kuanza kwako kuwaza kutoka nje unategemea kweli utadumu hadi huyo jamaa arudi
BTW kweli hapo unakiri kuna upendo kwa jamaa yako au unatuzuga
 
i live my fully life at JF, sina cha kuficha.

ooohh maria maria chunga kinywa chako utapokuja kuwa mke wa tatu kwa huyo wa ughaibun usimlaumu mtu,kaa mbali na maeneo yanayokufanya utake kumsalit mwenzio that is unfaithful..... also note NO SECRET UNDER THE SUN!
 
Ohhhh ushaanza kuwaza kutoka nje hata kabla vumbi la jamaa yako halijapukutika
Kweli wewe unaweza kuvumilia muda wote mpaka jamaa arudi au ndo kwanza utazidisha
Na je kwa kuanza kwako kuwaza kutoka nje unategemea kweli utadumu hadi huyo jamaa arudi
BTW kweli hapo unakiri kuna upendo kwa jamaa yako au unatuzuga
kutoka njee haimaanishi humpendi mwenzio.
think of my situation!!!!!!!
 
MTM bado safari ni ndefu aise
BAdo kuna mambo mengi yanaingia humu ambayo dah inabidi tuu uyasome
 
ooohh maria maria chunga kinywa chako utapokuja kuwa mke wa tatu kwa huyo wa ughaibun usimlaumu mtu,kaa mbali na maeneo yanayokufanya utake kumsalit mwenzio that is unfaithful..... also note NO SECRET UNDER THE SUN!
pls lolyz nazidiwa na mihemko kufikia wakato flani usiku sipati usingizi
yaan hata nikishuka njiani popote iwe tanga au singida nani anayenijua????????
 
Wana jf nawasalim

My boyfriend kasafiri na atakuwa ughaibuni kwa miezi kadhaa.Nampenda sana na niko tayari kuolewa naye hata mkee wa pili in case atarudi na mke

My problem is this:Kaniachia kigari chake (starlet) na hivyo kuniongezea mizunguko isiyokuwa na lazima na tena mpaka usiku, napata mihemko sana na nahisi soon nitateleza na tena naweza jikuta nateleza kwa mkaka wa mtaani kwetu (ofisini haiwezekani 100%)

Naweza hivi: mara mmoja kwa mwezi niwe nakuwa njee ya Arusha with mtu ni mtu provided hanijui na hana hata detail yangu yeyote.Again how i pick this person note that asiwe mtu wa Arusha ili iwe siri kuu

NITAFUTE KUPITIA mdaunews@yahoo.com
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom