I have no doubt, Dr Nchimbi will bounce back!

Nchimbi cheo ni dhamana .Nafasi uliyokuwa nayo ni nyeti hivyo ilihitaji umakini na ubinaadam.Hayo hukuyazingatia Tulia dawa ya maumivu iingie polepole kadiri ya machungu ya watanzania maskini yalivyowasibu
 

Nonsense!When will JK step down?He should be impeached for failing to lead our our Country!What a wasted space!
 
Bounce back kwa manufaa ya nani? And who gives a damn if he does or doesn't bounce back?
 
Amebebwa sana na jk lakini ameshindwa kubebeka,mpaka jamaa kamchoka.
 
JK atakuwa mtu wa mzaha sana akimpa nafasi yoyote ya uongozi huyu mtu,kwa uadilifu upi alionao?
 

Ndiyo maana is frequently seen at Mzumbe?
 
Mpaka 2025??? Ana umri gani kwanza...

Mpaka 2025 huyu bwana bado Mbunge tu au ana hati miliki ya ubunge au hujasoma rasmu ya katiba mpya nini, isistoshe hana ubavu wa kuishinda CDM 2015.
 
Amini msiamini, anayo nafasi, kama si ukuu wa wilaya,ukuu wa mkoa, pengine ubalozi. Kikwete hawezi kumwacha nchimbi alimsaidia mwaka 2005 kwenye kambi yake!

wa mwaka upi?
hii miwili iliyobaki ya jk?
kwisha habari yake
 
Reactions: BAK
Asingekuwa mshirika mkubwa wa Tembo dentist ingewezekana kilaini. Ni tembo man
 
Kheeeee Kheeeeee Kheeeeee Rais mtarajiwa 2015!!! Baadhi ya Wabongo banaaa wanachekesha kweli kweli!!!!
 


Kwani umoja wa vijana kuna wenye akili au ni magalasha kama yeye.hata vichaa wakiwa wodini wanaheshimiana sembese hao unaowasema.Huyu asubiri muda wake akaungane na kina UHURUTO the haggue
 
Mkuu nakuunga mkono. Dr. Nchimbi ni mzee wa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Amepata ajali ya kisiasa lakini nadhani ataenda kujiponya majeraha na kurudi; for sure he will bounce back.

Mipango ajuayo nchimbi ni mpiango ya uhalifu dhidi ya Raia. Hana mipango ya kukomboa nchi na wala kutokomeza uhalifu. Vifo na mateso ya RAIA mtwara, arusha, iringa nk.vitamuandama daima. Waziri gani anaonekana kulinda wahalifu? Mpaka sasa wauza madawa wanapeta na yeye yupo tu. Kwa kuwa ni kijana mtiifu kwaJK najua atarudi kwa mgongo wa nyuma lakini daima damu za watanzania wasio na hatia zitamuandama
 
hakuna waziri nilikuwa namchukia kama nchimbi bora chenge na karamagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…