Inabidi amlaumu Rais Kikwete kwa kumpatia Wizara ambayo ilikuwa juu ya uwezo wake!
Wizara ilimshinda kabisa kuiongoza kiserikali kama mtendaji badala yake akaanza kuiongoza kisiasa.
Hakufahamu kuwa, maumivu ya wananchi wanayoyapata kutokana na manyanyaso na polisi ndiyo itakuwa sumu yake katika kiti cha Uwaziri.
by the way, Rais Kikwete amesitisha vyeo vyao mpaka hapo atakapo rudi na kufanya mambo mengine zaidi, na kwa maana hiyo, Rais anaweza tena kuendeleza vyeo vyao.
Umri wake siyo mkubwa he is 42 . So mpaka 2025 atakua 54 bado anaweza akawa na nafasi hiyo ya kupigani vikumbo
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Binafsi i hate him so much,hana cha maana anachofanya hana hana hana,na hastahili kurud serikalini,mwache akae pembeni tu,amekaa wizarani pale mambo meengi anachukulia mzahamzaha tu,watanzania wangapi wameuliwa na jeshi lake?polis wake wameshiriki mara ngapi kwenye UNGA?si yeye,si kover si Mweh-mer,ni mizigo na ni kama magunia ya misumari HAYABEBEKIKuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena
Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..
Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Nami ndo namshangaa mtoa uzi,,labda anamaanisha wadogo zake NchimbiHao vijana ambao Nchimbi anaushawishi mkubwa ni wa wapi?
Wengine wametolewa kafara ila huyu ndo MTUHUMIWA.Mwambie ndoto za urais sasa akaotee LIZABONI.
hata mimi nimeshangaa, huku songea hao vijana hawataki hata kumuonaHao vijana ambao Nchimbi anaushawishi mkubwa ni wa wapi?
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena
Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..
Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena
Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..
Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena
Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..
Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Ubalozi unanukia
Umri wake siyo mkubwa he is 42 . So mpaka 2025 atakua 54 bado anaweza akawa na nafasi hiyo ya kupigani vikumbo
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
nimfurahi sana huyu jamaa kutimuliwa...katizameni jimbo lake la Songea lilivyochoka..
atapewa ukuu wa mkoa au wilaya.
Yeye ni mwenyekiti mstaafu wa uv-ccm so anaujua umoja huo in and out . Kwa sasa ni mwenyekiti wa baraza la wadhamini la uv-ccm nafasi aliyokua anashikilia Mh. Lowassa . Dr. Nchimbi anaeshimika sana ndani ya umoja wa vijana wa ccm