I have moved

Hongera dada, kwa masuala ya mapenzi hakuna wa kukuamulia, tunashukuru kwa kuusikiliza moyo wako.
 
Jipende na kujijali wewe na watoto wako, ulimpa upendo na nafasi kubwa ndani ya moyo wako, not this my dear behind every beautiful and success woman thr is a Dumbass guy who did her wronge and made her stronge... So be stronge and move on my girl.. Usijali ndugu wanasema coz thr on ur feet, thy dnt wht uuu hv been thru darling, its tym to make ur own descion...
 
achana na sakapoko huyo,get a lawyer,nenda kisutu ukampige chini ndo atapata akili.Baada ya talaka hakikisha mahakama inakubakizia watoto,akileta za kuleta insist mahakamani kuwa jamaa hana reliable income hivyo hawezi kutunza hivyo custody ya watoto upewe wewe.Ukitaka a good divorce lawyer we ni PM tumalize kazi.
 
Do u really remember your wedding vows? Do u recall somewhere that said till death do us part? If u want any peace in your life sit down and read your bible and start learning what the lord would want u to do when u think there is no recourse. Remember the lord is my shepherd i shall not want...
 
Good Lady!! Safi sana umeonyesha ulivokuwa mkubwa sasa nitaku PM nikupe mbinu za kivita zaidi
 
pole sana........... sikupi hongera wala nini hadi after 1 year maana wengine hufanya hivyo na kurudi, which in facts... disturbs kids more
 
Tumeingia kwenye ndoa ndio naanza kuona matatizo mengi hap tuna watoto wawili, si muaminifu kwa pesa za watu wala zangu akiazima basi inabidi nilipe kufunika aibu, ni muongo mara nyingi ni uongo usio na sababu sijui ninini?? yote tisa kumi kesi za wanawake ni kibao na ameshaattempt kuoa mara mbili yeye nikazikamata kwenye mtandao, anakaogonjwa na wanawake wazuri na weupe (hata mimi ni mweupe na mzuri lol) so kila nikimkamata ni ugomvi tu na mwisho anaomba mara msamaha lakini anarudia tena. Biashara nilimuanzishia japo biashara yenyewe alikuja kushindwa akafanya eneo la biashara ndio kituo cha kukutana na wanawake wake mpaka nikawa naogopa kupita hiyo mitaa.

.

Kha wewe ni Mwanamke au mwanaume? Embu soma signature yangu haraka.. Huyo Mumeo anawaendea wanawake kama wewe, embu waheshimu wanawake wenzako bwana. Unajua wanawake mlioolewa mnajiona malaika saana na kuwaona wengine kama nyani vile, vikatuni flani vile.. Mwanamke Gani wewe usiyejiuliza? kama mume wako angekuwa anawafukuzia wanaume wenzake (chakla) hapo tungesema mengine, lakini Mumeo anawafuata wanawake.. Wanawake kama wewe.. Ebo! sasa kwanini usijiulize mumeo anakosa nini kwako kulikoni kulaumu na kumuona yeye nyoka all the time. angekuwa kweli nyoka hao unaowaita wanawake wangemkimbiliaje? Embu jichunguze, Jiangalie mapungufu yako, fanya personal Introspect sio kila siku mwenzio ndiye mkosaji, wewe hukosei?. Isitoshe huenda una mdomo sana.. all days mumeo akija unamwimbishia mdomoooo mpaka ajajifill infirior kaka wa watu..unajua tena naelimu yake kimeo.. anaona kama unamnyanyasa Flan. HUNA UTII.. Huna Utii wala UTU wewe.. Mods niacheni nimmiminie Huyu vyake asipoambiwa ukweli kesho idadi ya watoto wa mitaani itaongezeka. . wako wengi sana kama hawa.. Wakishaolewa hujifanya malaika weupe..Miaka 32, wewe bado katoto kadogo, kinda kabisa hata hujui mlango wa nyege.. Wako wengi sana waliokuwa kama wewe, wengi mno, na mwisho wao ulikuwa mbaya sana. sijaona aliyefanikiwa hata mmoja. Leo unauchungu saana kwa hilo, basi ngoja, hata miezi haiishi atatokea mtu, atauzuuza moyo wako, tena wanaume wanavyopenda wanawake walioachika kama loose ball zao, wanandimi hao, hata uweje huwezi kuwakwepa mama, watakuchotelea vibaya wakuachie miukimwi, wewe na mumeo wote mtaondoka mtatuchia mayatima watoto wenu. Embu acha fikra za kishetwani. Mapito ni sehemu ya maisha. pata Ushauri sahihi, Rudi kwa mumeo kabla mguu wake wa tatu hajazidi kuusambaza zaidi. Ukichelewa utaambulia matunda yake..
 
you have drawn the battle line in the sand,haya sasa ngoja nitulie nishuhudie ma tomahawk missiles yakirushwa toka kila upande,la kwanza hilo vruuuuum karusha Salma,nasubiri mlio wa wajibu mapigo.
 
you have drawn the battle line in the sand,haya sasa ngoja nitulie nishuhudie ma tomahawk missiles yakirushwa toka kila upande,la kwanza hilo vruuuuum karusha Salma,nasubiri mlio wa wajibu mapigo.

Jamani tusidanganyane Lets talk.. Fine kuna Ugomvi hakuna anayekataa coz kila nyumba kuna ugomvi tell me where ulipokuta iko peace Januari hadi December?.. then kabint ka watu kamekwenda zake.. kisha unategemea kataishi kama katawa.. embu tujadilini utu.. Hasa Hasa wenyeviti wengi wa serikali za mtaa, wakishaona mwanamke kaachika.. hodi all time, mara aache buku, mara msimbazi, kisa eti anawaonea huruma watoto.. baada ya Muda atakugongea usiku.. sijui utafanyaje?..na Buku zake umeshanogewa nazo.. hata kama una mshahara.. mwanamke haachi hela..elewa!!!
 
  • Thanks
Reactions: Edo
..........kama una amani na furaha kuwa mbali naye endelea tu kukaa huko huko. Maisha mafupi haya shost, raha jipe mwenyewe. Tena una moyo sana wewe, ulivumilia sana.
 
Back
Top Bottom