Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 23,967
- 42,206
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Leo Nina Raha sana moyoni mwangu jamani
Yaan nasikia aman sana sijui hata kwa nini? Ndo nakumbuka mda huu kumbe ni YESU KRISTO jaman
YESU KRISTO hunipa furaha sana jaman
Mapenzi yake makali sana bila pesa bila nyumba lakini mbona Nina furaha sana jamani
Hii furaha ya leo siielewi jaman
Moyo wangu unabubujikwa kwa furaha sana
I love you Jesus
Nene nzunya MOYOGWAPE
I have decided to love Jesus
I have decided to follow Jesus
Kwa YESU KRISTO Kuna uzima, Kuna Raha , Kuna aman
SAYUNI BOY