Rabi's-son
Member
- May 19, 2014
- 27
- 18
kwa wale watalaam wa ku-hack website na database naitaji msaada wenu, nahisi kuna mtu ananidokolea data zangu kupitia utaalam wa kimtandao, kwa yeyote ambae atakua tayari kunipa msaada na kunionesha ni jinsi gani imewezekana kufanyiwa ivi au kama kuna mtu anajua kuna mtaalam flani anaweza nisaidia anisaidie...ntakua tayari kutoa chochote.
jamani, mbona hivi tunavunjana mbavu na jua lote hili hahahahahaahahhaahhhaPamoja na kutaka kujua kama kuna anayekudukua usiseme nipo tayari kutoa chochote. Kuna wengine wenye vichwa kama mimi watakuambia uwape 0713........ Sema tu nipo tayari kutoa pesa kiasi kadhaa.
NI USHAURI TU.
ha hahahaa nilitaka kumwambia kama wewePamoja na kutaka kujua kama kuna anayekudukua usiseme nipo tayari kutoa chochote. Kuna wengine wenye vichwa kama mimi watakuambia uwape 0713........ Sema tu nipo tayari kutoa pesa kiasi kadhaa.
NI USHAURI TU.
Jamaa kajirahisisha sana Mkuu wangu. Aisee,aangalie.jamani, mbona hivi tunavunjana mbavu na jua lote hili hahahahahaahahhaahhha
Jamaa sijui alifikiria nini kusema kutoa chochote.ha hahahaa nilitaka kumwambia kama wewe
hata sijui ila wanaweza muombaJamaa sijui alifikiria nini kusema kutoa chochote.
hahahahahahahahahahahahahahahahaππJamaa kajirahisisha sana Mkuu wangu. Aisee,aangalie.
Mimi ningekua expert wa technology ningemuomba tigo Wallahhata sijui ila wanaweza muomba
Mkuu unacheka sana mpaka basi.hahahahahahahahahahahahahahahahaππ
Yaani nimejikuta nacheka kwa sauti kiasi kwamba JPM angeniona ndio hapo angesema tuwe tunazimiwa data muda wa kazi. hahahahahMkuu unacheka sana mpaka basi.
Pole sana Mkuu! Hii ndo JF bhanah!Yaani nimejikuta nacheka kwa sauti kiasi kwamba JPM angeniona ndio hapo angesema tuwe tunazimiwa data muda wa kazi. hahahahah