Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
LEO KATIKA #HISTORIA
1968: Martin Luther King Jr alizikwa katika mji wa Atlanta, Marekani. King Jr aliuawa kwa sababu ya harakati zake za kutetea haki za watu weusi.
Alipata umaarufu zaidi baada ya hotuba yake maarufu ya “I Have a Dream”.