Sweetheart it could be relevant to someone else. Not necessarily.Again!
Nani huwa anafufua hizi thread zilizokufa???,watu mnakaa kupoteza muda kushauri wakati thread ya mwaka 2012??
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!
Ndoto zangu nyingi ni juu yake!
Nisiposikia sauti yake naumia!
Nisipopata SMS nakasirika!
Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!
It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.
Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?
Sweetheart it could be relevant to someone else. Not necessarily.
Ndio maana aliefufua sio mtoa mada.
Ahahhahahahaha we a cha tu.Umepotea sana, bebi am sore imekulegeza sana naona.
nilikuwa nahisi kupasuka, ikabidi niitafute kupunguza machungu.
....hmmmm. Thanks for the advice girlie.Kaunga ...sasa hivi vipi, unafurahia kumpenda?
I hope bado mko vizuri.
Kongosho ahhh we jiachie tu Konnie. Safi sana na Karucee mmepata SIZE yenu. Fanya kile roho yako inataka/inatamani as long as lipo ndani ya uwezo wako na huyo mjamaa. Mapenzi ya hivyo huwa hayajirudii.
Btw. . Itafika mahali utamzoea (ukaribu ukiongezeka if its a matter of distance, akiwa more available, akionyesha nia ya kukumiliki, akionyesha kukupenda sawasawa, ndoa n.k) alafu utaishia kufikiria "I love the way he loves me". So. . Keep lovin him and make him love you more.
Kaunga ...sasa hivi vipi, unafurahia kumpenda?

Nimeusaka huu uzi kusudi, i needed to let it out lakini sikutaka kuanzisha sred mpya. Nilikuwa naikumbuka hii, yaani sasa hivi nakupata fika what you were going thru. Am going banana . . .
Easier said than done my dear!
Ulishapona? What medicine did you use? I need some . . .
Na hii wasap, online 24hrs kama muuza pombe. Nishaanza vuka mipaka ya vitu ambavyo hufanya sana.