I hate the way I love him

Hongera sana Kaunga, I have read the whole thing, now I have a full picture, sina la kuongezea kwani naona yote niliyokuwa nataka kusema yameishasema na wadau.

Kila la kheri with your to be hubby!
 
Hongera sana Kaunga, I have read the whole thing, now I have a full picture, sina la kuongezea kwani naona yote niliyokuwa nataka kusema yameishasema na wadau.

Kila la kheri with your to be hubby!

Thanks Mito, najaribu kuyafanyia kazi niliyoshauriwa, zidi kuniombea tu!
 
Huenda kuna siku nikapata majibu ya maswali ninayojiuliza kila inapoitwa leo kuhusu namna mwanadamu alivyo!Enwei,napita tu hapa,kuna mambo mengi yaliyo ndani ya kichaka ambacho sina uhakika na umbali wake,but huenda hatutakiwi kuyafuata na kuyachakurua!!
 

Jamani my sweetie Eiyer mbona mafumbo tena; nifafanulie ili nielewe mwenzio!
 
Last edited by a moderator:
Nimeusaka huu uzi kusudi, i needed to let it out lakini sikutaka kuanzisha sred mpya. Nilikuwa naikumbuka hii, yaani sasa hivi nakupata fika what you were going thru. Am going banana . . .


 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, afadhali. Inani-console am not the only crazy being.
Simu ikiita hata kama uko ni mwendo wa kukausha mikono ili upokee.
Talk for hours and hours.

I think l am too old for this, hii ya kukagua Simu kama SMS imeingia jamani. I was doing well kabla ya kukutana naye!
 
Ulishapona? What medicine did you use? I need some . . .

Na hii wasap, online 24hrs kama muuza pombe. Nishaanza vuka mipaka ya vitu ambavyo hufanya sana.

 
Duh, mbona siko tayari ku slow down?

Anyway, uzuri siogopi sana kuchitiwa as long as msimamo ubaki.

 
Kongosho umeiibulia wapi hii makitu!
ahahhaahhaahhah itauwaunatafut antidote wew!
mekumiiiiiiithiiiii hadi hasira!
 
Last edited by a moderator:
Umepotea sana, bebi am sore imekulegeza sana naona.

nilikuwa nahisi kupasuka, ikabidi niitafute kupunguza machungu.

Kongosho umeiibulia wapi hii makitu!
ahahhaahhaahhah itauwaunatafut antidote wew!
mekumiiiiiiithiiiii hadi hasira!
 
Mbona ni kawaida tuuuu; si imeandikwa iliko hazina yako ndiko na moyo wako utakuwako? wala usiachie hapo ndio um efika na huo ni uganga tosha wa kumfanya asitende lolote kinyume nawewe hata angetaka vipi ramani zinajipasukia kiajabuajabu hadi apige breki kwako ni kama uchawi vile au kumfunga kuku kamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…