I hate the way I love him

Sijui hua wanatufikiria kama ambavyo sie tunawafikiriaa lollll

Only kama timu zetu hazichezi siku hiyo au zimecharazwa mabao.

Na hii Champions League inayochezwa usiku, kwa kweli itabidi mtu-hate the way you love us.

Pia msisahau mwaka huu ni wa Kombe la Dunia; footie first, mengine baadae.

Achana kabisa na the "beautiful game". lol.

 
Last edited by a moderator:
::
Kaunga
Penzi halina mwalimu
Penzi huuma kwa umu
Penzi halijali mko mbali
Penzi huwasha lataka mkunaji
Penzi ni la wawili si mmoja tu, Hongera kwa kuyapitia
=
 
Bhange zinanisaidia Sana. I have a button, like isolation switch. Nikiona naumia na sipati upendo back I trigger it. Aisee, ntakuona kama someone I knew in my before life (I imagine kabla ya kuzaliwa we were in a pool somewhere and perhaps. That is where I once saw you?). ILA kama napewa upendo back im ok na huko kuendelea kuumia kwa mbaaali.
Hata mimi I ----ing hate it.

Its like am high on him.

I cannot stop thinking about him.



Shtoooopit man.
 

Hiyo ya kupendwa usipopendeka kali. Kwa mwanamke utaliwa kubaya ukiendekeza ya hivyo. Lol
 
Ni mwaka wa nne huu nipo nae kwenye relationship and am still crazy about him like the very 1st days we met.
My bad😕

If he loves back it's great. otherwise i don't fancy going crazy in the name if love...
Akikutenda unaanza kuokota makopo..
 
Umbali is a big problem,but mawasiliano ndio kila kitu,mkiwasiliana marakwa mara kwa siku itawaweka karibu sana na kufeel uwepo wake.
 
Hujanielewa. Unajua maumivu kwenye mapenzi kwa mbaaali Yana raha yake? Like maumivu ya kummiss mtu. Ujue ndo yanapelekea kubembelezwa (binti Mtambuzi kwa kudeka!). Inakuwa kama ukiwa na kipele flani kinayma afu kinahiwasha vile.

Mie siwezi kupenda nisipopendwa. ILA I can tolerate haters by not minding a damn about em
Hiyo ya kupendwa usipopendeka kali. Kwa mwanamke utaliwa kubaya ukiendekeza ya hivyo. Lol
 
Last edited by a moderator:

mstari wa mwisho .... huo mstari wa mwisho!

goodmorning king'asti!
 
 
Mh! hapa kisu kimegusa mfupa.
Nimpe pongezi mwanmume mwenzangu kwa kutimiza uanamme wake na kukufanya uanguke kwake kichwa chini.
Pia nakuombea/nwaombea muweze kuyatengeneza na kuyamaliza vizuri
Ngoja nijiachie achie tu, ila am ashamed of my self, basi tu

Hakuna kitu sipendi kama kupoteza ujeuri wangu, ni kama vile napoteza silaha yangu mbele ya adui.
 

Oh yeah. Hizo pains spice up the whole thing. Hahaaa. Ila mapenzi bwana?
 
Last edited by a moderator:
Get a busy life..inasaidia,
otherwise find means to be close to him,get married o smthing..
 
Tatizo kwa mahaba ya level hii huwezi jizuia.
Mtaani uswazi tunaita kukolea au kufika au kwa wale wa mipasho ndio wanasema shetani kataja jina.
Unajikuta umekutana na mtu kila alichonacho/anachokifanya/kufanyia/ au anachosema anagusa mtima wako.
Yaani ubango unakataa lakini moyo ndio unakuongoza halafu hauelewi kabisaaa.

Kwa mfano hawa wote wanaotoa ushuhuda humu ni "wabishi" na wataalamu wa ushauri lakini leo wote....mikono juu
Nafikiria kila kitu kifanyike kwa kiasi, TOO MUCH OF ANYTHING IS HARMFUL.
 
Najitahidi nifungue min bar home.
Na kka skrin walau wawe wanaangalizia home.

Kombe likianza mtu anakuwa kama kasafiri.

 
Last edited by a moderator:
If he loves back it's great. otherwise i don't fancy going crazy in the name if love...
Akikutenda unaanza kuokota makopo..

We love each other. And naona kama yeye kazidi hivi..... maana sasa imebidi tujitahidi kila mtu apende apendacho mwenzie. Can u imagine nami eti nimekua mpenzi wa mpira siku hizi😉
 
That how u deserve to act in love, regardless uko na age kama ya MUgabe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…