Nimecheka sana miye!!
Waswahili wana msemo, ukilijua hili mwezio ajua lile.............................Zombie :israel::israel:
Mapenzi ni kama utoto, tofauti ni michezo tu!! kumamae hii ni noumer
cc Karucee
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!
Ndoto zangu nyingi ni juu yake!
Nisiposikia sauti yake naumia!
Nisipopata SMS nakasirika!
Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!
It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.
Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?
going insane in the name of love... bado sanaaa
Kaunga, nimeweka utani pembeni sababu ukimuona nyani mzee kama mie ujue kakwepa mishale mingi.
Ndo maana naweza kukuambia kabisa uko okay na wala hakuna la ajabu unalofanya.
Sema taabu ni hapo anapokuwa bize afu wewe una nguvu nyingi za kuongea na kuchat.
Kuna saa utaweza kujizuia kuna saa linakuja wazo la liwalo na liwe mie naanzisha maongezi.
Kuhusu wanaosema usianzishe wewe maongezi umwache aanzishe yeye, sijui labda kama uwe mzuri kwenye kupretend ila wengine hilo haliko kwenye menu yangu.
Mapenzi hayana formula wala script, kikubwa asikufanye ukapoteza uelekeo wa maisha tu kama kuacha kazi na kumfuata.
Ila haya ya kuanzisha maongezi, anzisha as much as you can, hata akijua unampenda sana so what? Wee sio wa kwanza kupenda kihivyo na wala si wa mwisho.
Kama anakuthamini hata kidogo hawezi abuse au kukubeza kisa umempeeeeenda, labda kama umependa marioo ila mwanamme wa haja huwa anaelewa.
my dia umekosea usimweke mwanadamu kuwa first itakugarimu mweke muumba wako na hatakuangusha kamwe Kaunga dear then waje wakuja later
Hivi ndivyo ulivyonishauri. LOL
buy a dildo..lol
you WILL
one day