The Boss unajua kuna jamaa anatumia hii Avatar yako kule kwa blog ya mange anajiita Mudy Washington,,unaonaje tukamshtaki?buy a dildo..lol
je yeye anafeel the way u do!! And if it is ..yes..why so muted!! Kama ni girl itakua ngum hasa kwa tamaduni zetu!! Ila wewe ni matured tumia indirect ways to attract him(or her)..naamin anakupenda pia..amin!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!
Ndoto zangu nyingi ni juu yake!
Nisiposikia sauti yake naumia!
Nisipopata sms nakasirika!
Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kuna mficha ninavyojisikia!
It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.
Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?
Jamani dildo ni mtu, l am in love with a person na sio kwamba l am horny!
The Boss unajua kuna jamaa anatumia hii Avatar yako kule kwa blog ya mange anajiita Mudy Washington,,unaonaje tukamshtaki?
Pole sana Kaunga. Ishu ni kuwa je huyo umpendaye hivyo anajua? Naye anakupenda?
Asante Asprin hasa kwa kuona userious wa issue yangu na kunispare na utani wako!
Yes anajua, na ninafikiri ninamchoke kwa kumwambia how much l love him.
He says l am the love of his life, and l think he means it. Umbali ndugu yangu na nature ya kazi zetu ni mtihani mkubwa l think.
I pray Mungu ayabariki mahusiano yetu; niombee na wewe pia.
je yeye anafeel the way u do!! And if it is ..yes..why so muted!! Kama ni girl itakua ngum hasa kwa tamaduni zetu!! Ila wewe ni matured tumia indirect ways to attract him(or her)..naamin anakupenda pia..amin!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Thanks BAK, again!
I wish ningempenda nusu ya ninavyompenda labda nisingekuwa muathirika hivi.