yani sidhani kama takuja kurudia huu ujinga
Siasa bana; juzi tu watu walishikia bango ishu ya kinana na kuitukana sana ccm, ukijaribu kuwaambia waTz tuna akili za kuku tutasahau within 3days unaporomoshewa matusi balaa. Leo ile ishu imepotea kama haijawahi kutokea vile
Tuko era ya zzk kuvuliwa madaraka CDM nayo itapita kama upepo ndani ya week moja tu
uwe unapita pita, unapata nyuzi bin nyuzi.....