Kwangu wewe ni YES hata ukisema NO utabaki YES tuuuuuuuuMi mwenzenu sijui labda nitakuja kubadilika huko mbele ya safari? Lakini nikisema Nooooooooooooooo to you nimesema sirudi nyuma wala sigeuki, na nikisema Yesssssssssss nimesema kwa kumaanisha pia!!!
Ni rahisi Yes kubadilika kuwa Nooo kuliko Noo kuwa YES!!
Najua tunaishi kwa neema ya Mungu, so hata bila uwepo wako wewe nitakayeona sikupendi au nakupenda maisha yanaendelea tu. Ilimradi nisimkosee Mungu kivile!!
Mwache abip atachoka ataacha, nini kubip apige masaa yote kumi na mbili kama sitaki kupokea sitaki tuuuu!!
Na hawa watoto wa kwenye taulo hawa, daaa nikikuhisi tu we ni wa kwenye taulo, nakula kona tu manake najua hapo maisha lazima yawe magumu!!!
So dada kwa nini uhangaike na mtu humpendi, tena yuko mbali hivoooo!!
Hata tungekuwa tumepanga nyumba mmoja achilia mbali tunakaa mtaa moja, YES ni YES na NO ni NO!
Ukitaka ushauri ni huu fahamu katika mahusiano kuna wenza wanaweza kukusaidia ukawa very sucessfull in life na wengine wakakufanya uwe kama uliyechanganyikiwa kwa matatizo. Sasa jiulize Boyfriend wako yuko kundi gani. Kama ni kundi la mikosi na matatizo achana naye tafuta mwengine wa maana, kwani huyo hawezi kujirekebisha sana sana anakudanganya tu!!! Kama yupo katika kundi la mafanikio poa sana endelea nae tu kuenjoy maisha.
yani nimeomba huu ushauri kwasababu ameibuka tena ananisumbua kinoma,yaani sina hata raha
Kwangu wewe ni YES hata ukisema NO utabaki YES tuuuuuuuu
wadadaaaa mnawapenda saaana wauza sura nadhani mambo safi toka family zao ndo zinawachanganya. kuna mdada mmoja na yeye yuko kwenye late thirties kazaa na jamaa ambaye ni mdogo kuliko yeyeee jamaa kwao mambo supaa jamaa si mlevi lkn mpaka leo anakaa kwa mpaka leo anafanya kazi lkn hataki kuoa hamtunzi huyo mtoto wake dada ukimwona alivyo mzuri jamani duh lkn amedata kwa huyo jamaa dada ana maadili mazuri saana anavyomnyenyekea huyo jamaa lkn jamaa wala halina habari. fikiria mtu anapigiwa simu anaambiwa mtoto anahitaji nguo ya krismas baba anasema sina hela mbona sikukuu imekuja ghafla!! tehe huwezi amini dada anasema hawezi kuzaa au kuolewa na mtu mwingine yeye anaamini iko siku jamaa ataoa tu na mwanzoni demu alipopata ujauzito jamaa alikomaa itolewe demu akakataaa so dada zetu jihadharini na wauza sura haoooo
Nikampa condition kwamba akitaka turudiane basi aache pombe, akakubali, after two month naongea nae, nikamtania kwa kumuuliza"vipi leo haujanywa? alichonijibu ni kwamba eti hana hela,kama vp nimtumie hela ili akapate beer 2.. sasa hii ni akili kweli? alishasahu kwamba aliahidi atabadilika.
i cant change my contacts na nataka awe out of my life forever nafanyaje? nisaidieni jamani.:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
i just hate him
Mi mwenzenu sijui labda nitakuja kubadilika huko mbele ya safari? Lakini nikisema Nooooooooooooooo to you nimesema sirudi nyuma wala sigeuki, na nikisema Yesssssssssss nimesema kwa kumaanisha pia!!!