Mkuu sonnita hapo kweli kabisa, sijui ni kwa nini lakini kwa uzoefu wangu naona ni timing tu, Unaweza kupiga mahesabu kumuibukia mtu siku flani si unajua kumsoma Kwanza kabla hazijafika watu wamewahi.....Hapo ndo unaanza kujikosha
Hii pia ipo sana hii.unawazia na kupanga mwenyewe siku flani,ikifka mda flani ntamjulisha juu hisia nlizonazo kwake,yani hyo siku ikifika unakuta wenzio washawahi zamani gani.ndo ivo tena anakua sio wako uyo...inaumaga though.