Soulbrother JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 405 Reaction score 17 Jun 1, 2009 #21 Karibu tena ya kiswahili, yaani keti jamvini upate wali na samaki wa nazi π
Next Level JF-Expert Member Joined Nov 17, 2008 Posts 3,153 Reaction score 189 Jun 1, 2009 #22 KYACHAKICHE said: Duh! Umeingia na gear kubwa kama Makonyagi? Karibu sana, ila na huyo makonyagi utamjua pia. Click to expand... Hahahaaaa!haha umenikumbusha Makonyagi...yaani ule mkwara wake sitausahau kabisa.......! BWT...Karibu sana Jamvini Fazaa lakini ucje potea kama Makonyagi anavyopoteaga!
KYACHAKICHE said: Duh! Umeingia na gear kubwa kama Makonyagi? Karibu sana, ila na huyo makonyagi utamjua pia. Click to expand... Hahahaaaa!haha umenikumbusha Makonyagi...yaani ule mkwara wake sitausahau kabisa.......! BWT...Karibu sana Jamvini Fazaa lakini ucje potea kama Makonyagi anavyopoteaga!
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,333 Reaction score 17,870 Jun 1, 2009 #23 gnasha said: karibu Fazaa jisikie uko nyumbani. Click to expand... Gnasha mwambie kuwa hapa sio DHB, sasa vipi bado ndo yenu ipo? LOL
gnasha said: karibu Fazaa jisikie uko nyumbani. Click to expand... Gnasha mwambie kuwa hapa sio DHB, sasa vipi bado ndo yenu ipo? LOL
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,333 Reaction score 17,870 Jun 1, 2009 #24 fazaa said: Mkuu kama nyonyo zao ndo kama unavyo sema...basi nikuwacha walivyo mana hawabadiliki hata ufanye vipi...ππ Click to expand... Dogo apo suirushe mawe gizani tulia tulia ! LOLππ
fazaa said: Mkuu kama nyonyo zao ndo kama unavyo sema...basi nikuwacha walivyo mana hawabadiliki hata ufanye vipi...ππ Click to expand... Dogo apo suirushe mawe gizani tulia tulia ! LOLππ
Kyakya JF-Expert Member Joined Apr 24, 2009 Posts 398 Reaction score 24 Jun 2, 2009 #25 Karibu hadi Chumbani
G gnasha Member Joined Jan 19, 2007 Posts 83 Reaction score 7 Jun 6, 2009 #26 Kaizer said: Gnasha mwambie kuwa hapa sio DHB, sasa vipi bado ndo yenu ipo? LOL Click to expand... Nilishamtahadharisha, hapo juu sijakuelewa vizuri.
Kaizer said: Gnasha mwambie kuwa hapa sio DHB, sasa vipi bado ndo yenu ipo? LOL Click to expand... Nilishamtahadharisha, hapo juu sijakuelewa vizuri.
The Farmer JF-Expert Member Joined Jan 7, 2009 Posts 1,658 Reaction score 559 Jun 6, 2009 #27 Karibu Jamvini - JF "The Home of Great thinkers"