I feel played


There you are kaka mkubwa, matatizo kwenye mahusiano hutukia pale mmojawapo esp wa jinsia zetu kutakiwa kutoa explanation kuprove trust, even kwenye negligible matters! Na kibaya zaidi matatizo huanza pale dada zetu hawa wanapoanza kufanya comparison ya mahusiano, kwamba kwa kuwa kidawa anafanywa hivi na mtu wake basi nami nastahili kutendwa vila pasi kujua mapenzi ni taasisi inayoendeshwa na kanuni zisizofanana!
 

Huyu mwanamke anawaka tu, hajui kwamba wakati mwingine nakua chimbo kwa ajili ya kumwandalia maisha, how come uko ofisini, tena ofisi ya uma unapigiwa simu saa tatu unapokea casually malalamiko yanaanzia hapo hapo....''kwanini unaongea kipolisi" Ukimjibu muda wa kazi, anakata simu kwa hasira na baadae sms za haraka haraka....kwani kazi na mimi bora nini....khaaaa! Nitakabadilisha tu, maana ni mwendo wa ubabe mwanzo mwisho, na simwachi!
 
love urself. .If he was meant for you. He will come in time. don't force things. .As u will ever be his option n u'll loose ur confidence. Ushauri wangu for now Love Your self n be expensive
Thanks alot I apriciate u
 
Maskini pole sana sex bubble! Ukikua utaona ni kitu cha kawaida !mapenzi ni kama siti ya daladala anapanda anakaa mmoja akishuka anakaa mwingine

Uko kwenye teenage love !yanatesa mno unajiuliza kwani mimi sio mzuri ? Au nina kasoro ?
Mshana si teenage love,nilishapitiaga miaka ya zamani ila hii ya sasa kali
 
Ukibadilisha mentality itakusadia kubadilisha mambo mengi na hata muonekano wako wa nje.. Watu/ mtu atakuchukulia serious.. Sio mtu wa sex tu na kupeleka muda uende
Ntabadilika niwe mtu mwingine kabisa
 
Thanks unaona mbali and asante kwa mda wako
 
Mi sipigagi simu hovyo
 

the tale of a man and a woman...the truth is, the two will never completely understand one another. this man is behaving 100% like a man and the woman 100% like a woman..funny things is, their survival lies somewhere in the middle.
 

Then open the can and the smell the coffee...

Ask him the difficult questions, you know what you want from him.... ask him what he wants from you.... and that should be final.
 
Mimi kama kawaida yangu, nakuja na research reports na scientific explanations...........Imeonekana kuwa most beautiful ladies wanakuaga kwenye abusive relationships au wanadate ppo ambao kwa kweli ni 'appearance mismatch'. The reason ni kwamba the guys feel that their hot girls wanacheat au wana possibility kubwa zaidi ya kucheat. Pia they know that they dont deserve such jewels kwahiyo wanawa mistreat.

For ur case sexy....sepaaaaa! Huna chako apo...kama ushamwambia haelewi bas its obvious anakuenjoy!!!
 
"A bit older than me"... kwa mwanamke inaweza kuwa miaka 16. Then you don't have many issues to discuss. You just have few body parts that come together. ..
 
Thank you
 
"A bit older than me"... kwa mwanamke inaweza kuwa miaka 16. Then you don't have many issues to discuss. You just have few body parts that come together. ..
Sijakuelewa
 
the tale of a man and a woman...the truth is, the two will never completely understand one another. this man is behaving 100% like a man and the woman 100% like a woman..funny things is, their survival lies somewhere in the middle.
Mungu anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…