One sentence for you baby gal, "he is not that into you"!
stop calling him, stop texting him and when you meet 'act normal' like he does. Soon atatoka moyoni mwako, anaenjoy free rent huyo.
Kazi am not sure but huwa anasafiri sijaweka kazi yake akilini sababu sitaki afikirie am after money tabia yake sijui lakini he drinks alot na mara ya kwanza he used to call mara chache Ila siku hizi its neva labda anione sehemu ndo atapiga kuuliza naenda wapiWengne tuko hivyo jamani. Kwan kuchat na kukupigia simu mara kwa mara ndio mapenzi?! Anafanya kazi gan kwanza?! Ni mtu wa tabia gan?! Tokea zaman alikuwa hivyo au kachenji baada ya kuwa nawewe?!
magumu lakini kama umewahi penda utaelewa najisikia aje mwenzakoHuu ndo ukweli. Umemaliza kila kitu.
Mleta mada yafanyie kazi haya maneno.
deoHilo jina mimi hoi halafu mpuuzi anakatesa haka katoto!
Nyumba ndogo yake akikosa kote ndo anakuja kwanguWewe anakuchukulia kama mapozeo ndio maana hayupo kihivyo nawe
sexy bubbleNyumba ndogo yake akikosa kote ndo anakuja kwangu
One sentence for you baby
gal, "he is not that into you"!
stop calling him, stop texting him and when you meet 'act normal' like
he does. Soon atatoka moyoni mwako, anaenjoy free rent huyo.
magumu lakini kama umewahi penda utaelewa najisikia aje mwenzako
Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...
sexy bubble
Nimependa jina lako
That sounds like a big jokeHe is busy but he loves you so much....
Wanasoma vitabu tafauti kabisa. Mmoja ana cha historia mwenzie ana cha basic applied mathematics!
inachanganya mno nakuuma mnomie nakuelewa kabisa...nakuelewa mno
One sentence for you baby gal, "he is not that into you"!
stop calling him, stop texting him and when you meet 'act normal' like he does. Soon atatoka moyoni mwako, anaenjoy free rent huyo.
Nashindwa kumsahau nikilala namuwaza yeye nikiamka yeyeExperience yangu inaonesha huyo mtu ana mwingine ambae ndo yuko nae serious. Ww anakupotezea muda tu. Chapa lapaaa