I feel played

I want to continue playing it but I dont know which new tactics to apply
 
kama hujapitia anayopitia sidhani kama ni busara kumwambia hana akili...wengine wakipenda wanapenda sana..na to let it go inakuwaga ngumu....bora umshauri kuliko kum judge na akili yake....love hurts

aisee.... mwallu bana
 
Last edited by a moderator:
kama hujapitia anayopitia sidhani kama ni busara kumwambia hana akili...wengine wakipenda wanapenda sana..na to let it go inakuwaga ngumu....bora umshauri kuliko kum judge na akili yake....love hurts
Bora ulikuwepo umenisaidia kuongea
 

Eksi mpenzi, hata mie jaman?? Tell me noo pleasee...
 
Wanasoma vitabu tafauti kabisa. Mmoja ana cha historia mwenzie ana cha basic applied mathematics!
Ni kweli King`asti au tuseme wako pande tofauti za shilingi.Unajua sisi wanaume tukipendwa huwa tunajifanya kama hatujali ila tukishakosa ndo tunaanza kung`amua...mbuzi hajui thamani ya Nkia wake hadi siku unapokatika ndo anajua kumbe pamoja na ufupi wake una maana.Ila tu jambo lingine mnalandana au kuna great mismatching mfano wewe ni mrefu sana ilhali yeye ni mfupi saaana au elimu zenu zimekaaje.Kwani ni vizuri mkiwa mna mambo yanayokaribiana (similarities0 siyo yeye west wewe East,au wewe ni mlevi wa kupindukia sasa yeye hapendezwi na tabia zako...
 

Ulikosea kumpa haraka haraka. Haoni tena kipya/kizuri kwako. Mwache kwani alikutamani tu.
 
I once said this n will say it again to u and all other JF ladies with similar dramas that " the only guy you need in your life is that one who proves also he needs you in his life" otherwise utakuwa unapoteza muda tu. Over!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…