Pole, punguza mawazo hazitopotea. Kama magari yameharibika huko utarudishiwa mtaji wako.
Nnchohofia mimi, sasa tutakuja uziwa magari yaliyopata msuko suko. Chumvi kedekede. Ilishatokea, si kwa zilzala bali kwa kuzama meli ya magari, yalipoopolewa, wajanja wakayawahi kwa bei ya kutupa. Wacha.