I dont want it

hizi nyege za uzazi tu. Ushatoka hospital?
 
Asante ndugu yangu.
 
Asante sana
 
ushajua kukawekea chuchu kanyonye?

Na kukafunga kwenyenguo ushajua?

Unachunga kitovu? usije kutuletea msagaji bure.

Una mengi ya kuhofia nashangaa unahuya huya na mwanamme aliyekataa ulezi, sio wa uji.

Nimeshatoka tayari..
 
Najipa moyo mtoto wangu atakua salama atakua mdada mrembo kama baba yake hatajirudi sasa basi hapo baadae wataelewana wenyewe acha mi nilee malaika wangu ambaye sikumtupa chooni.
Na watu wote sasa wataje jina la Mungu na kumshukuru kwa hili!!!!
 
ushajua kukawekea chuchu kanyonye?

Na kukafunga kwenyenguo ushajua?

Unachunga kitovu? usije kutuletea msagaji bure.

Una mengi ya kuhofia nashangaa unahuya huya na mwanamme aliyekataa ulezi, sio wa uji.
Nimeweza ila kwa sasa kame lala
 
Ushajua kukaongesha?

Wee mwenyewe unakumbuka kujikanda?

Unajua post natal depression? Jichunge
 
Nilivyosoma huu uzi ya dada nikajiona mi kumbe ninaroho mbaya sana.

Kwa sababu kwanza nisingefungua uzi kutaka ushauri/huruma kwa yeyote yule(coz i cant change the past).....baada ya yeye kuniambia maneno hayo ningetafuta mwanasheria na ningemtaka ayaweke maneno yake kwenye sijui viapo au nini ila siku yoyote ile asije akajileta ati huyu mwanangu, nilifanya makosa kumkataa, sijui shetani alinipitia, sijui ujana ulinijaa wala nini. Nisingejali kama nakazi au la ningeuza ubuyu, ubwabwa, karanga na chochote cha halali......najua Mungu yupo na atanisaidia, ningekomaa na mwanangu mwanzo mwisho......halafu tuone kati ya mimi na yeye nani atacheka mwishoni.
 
M.b.oo ziko kibao, ung'ang'ana na asiye taka ulezi? Usko too weak, songa mbele mapenzi kujiendekeza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…