OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Niwakorofi ndo maana najaribu kumuweka sawa baba wa mtoto ili nisije kumuaribia maana baba yangu namjua mimi mwenyewe
Nilijua tu utatulia ,hiyo dozi lazma ukae!
Sasa rejea nilichokushauri!
Hapo kulia sijui kushoto kwako kuna kitufe cha IGNORE LIST!
BOFYA HAPO!
Wasije waka mfunga
Mi natakaga bas mtu ajione mpweke?
una uwezo wa kunituliza wewe?
Nilijua kaanza kunikera peke Yangu!Are you obsessed or what???!!!
Kumuharibia una maanisha nini wewe mtu mzima au under 18 atafanya nini babako juu ya hili? ??!!!!!
Tamwa, Tgnp, Tawla au nini atafanya???!!!!
Ushakuwa mama ujue hebu kuwa kiongozi sasa acha masuala ya my daddy bought me this, my birthday gift is what, sijui na kama hayo!!!!!!
Unaona sasa kumbe angalau una sababu.japo mi sio kuwa naona alifanya sawa!
Jiambie tu kuwa alikujibu hivo kwa kuwa ana matatizo!
Ikuvushe ulipo!
Mi concern Yangu ni huyo cuttie wetu!
OLESAIDIMU kashaanza kupiga mahesabu ya ngombe! Usione anatuhimiza tukae kama familia!
Mamii lea binti yako!
Hakuna siku atakukana !
Simuombei mabaya ila asipo jirudi basi naomba kimkute cha kumkutaDada usife moyo! najua na unajua kwa kiasi gani cha makosa uliyofanya! cha msingi lea mtoto wako kwanza huku ukitafakari mustakabali wako, labda kinachokuchanganya ni uwezo wa kumtunza mtoto? kama una ndugu hawataweza kukutupa. Usije kukata tamaa na maisha, kama mtoto ni wa huyo mwanaume ipo siku atatendwa kama alivyokutenda hapo ndipo atakapokutafuta.
Wasije waka mfunga
Nilijua kaanza kunikera peke Yangu!
Simuombei mabaya ila asipo jirudi basi naomba kimkute cha kumkuta
Simuombei mabaya ila asipo jirudi basi naomba kimkute cha kumkuta
Au tupo na maina????!!
Nahs!
Ila zile kicks za maankali zako huwa zinakomaza otomatekale!
Kaka hivi dada yetu wa uchungu toka nitoke tunamshauri hivi????!!!!
Yani ujue tunajaribu kukutoa ulipo kimawazo af we ni wa juzi ujue!
Hii post mpk inafika hapa hujafunguka akili hata!
Af unapoteza concentration ya kunyonyesha huyo angel kwa kumtetea na kulilia mwanaume aliyekuacha crucial time like urs!
mnapendaje watu hivi mpk mnajisahau Nafsi zenu?
Akiongeza na hasira za kukesha na vilio visivyo sababu atakamilika!!!!
Akiongeza na hasira za kukesha na vilio visivyo sababu atakamilika!!!!
lilikuwa swali langu la kwanza!Hivi mtu kajifungua jana leo kashafungua İD Jf na kuanza kulalama mbona simwelewi? Mtoto atanyonya saa ngapi?
Ama kweli siku hizi hamna kujifungua bali kuna kuzaa.
Na we umeona hilo enh!Huyu naona anahitaji kuendeleza maisha ya uboyfriend na ugirlfriend, hajui kama ameshakuwa mama. Anachohitaji yeye ni namna ya kumfanya boy wake arudi na si jinsi atakavyomlea mwanae.