I dont want it

miezi yote 9 kabsaaaa..!!!! bila kumuarifu mwenzio kabsaaaa...!!!!!!!! mi nkimis period tu najihami mapemaaa ili ajue kama ni mabadiliko tu au ni kizaigot ajibebe.
 

Kaka hivi dada yetu wa uchungu toka nitoke tunamshauri hivi????!!!!
 
Nilichonacho ndicho kinakuhangaisha!
Usilazimishe mazoea !
Umeshauri nini toka umeiona hii post badala ya kukomaa kuquote nilichoandika?
Mxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxiou sura kama nyuma ya sufuria!.
Nipishe Mimi!

kwa lipi ulilonalo mpaka nilazimishe mazoea na jiheshimu huwa sina muda wa kujibizana na mwanamke na hapo juu nimejaribu kukurekebisha uache utoto.
 
jikande maji kwanza ukipona urudi.
Mbona wakati mnaduu ulikumbuka kwamba anatakiwa amwage nje?why alipomwaga ndani hukumwambia?

Ni kweli huyu dada alifanya makosa hapo kabla, lakini hapa sio sehemu ya kujadili yaliyopita! kwahiyo kama huna la kumsaidia ni vizuri ukawa msomaji tu sio lazima u-comment ili ujulikane kuwa na wewe upo.
 
yani mpaka una mimba hajui? huyo mtu wako ana umri gani? na hospt hakuja kuuliza? mpaka unajifungua ndio anasema hataki, aisee, pole sana hajielewi huyo, fanya yako mlee mtoto katika njia impasayo naye hata iacha. ila huyo uliyezaa nae hatujui ni nani yako mumeo au mzinzi mwenzako kama bado unampenda sina ushauri, jibu unalo mwenyewe. maneno makali sina zaidi ya kumuombea.
 
Let him go!
Mpe muda ajiwazieeeee
Akiamua kwenda jumla poa!
Huwezi kushindwa kulea mtoto wako


Ujue we ndio festi boni sasa dogo huku anashida we unatumia nguvu kinyume na maumbile ili iwe nini kwa mfano????!!!
Hebu rudi ndani huku mdogo wako anataka umshikie mtoto aka wiwiiii mara moja!!!!!!!

Ebhoooo we vipi bhana kama unapiga mswaki ati kama sura vile
 

Ooooh !
Pure Brotherly
My late brother ilikuwa anakuscold kwanza af anafungua mikono kukuhug hata uwe umeboronga viiipi!
Nakoz kwanza thn comes those mikono mipana na kifua cha kukuruhusu ulie weeeeee af anakupa mchongo!
How I miss him!
 
Last edited by a moderator:
hukuwa siriaz binti au ulitaka kumbambikia mtu akashtuka ndio ukarud kwa i dont want it??? ungekuwa siriaz ungemwambia mapema ili ajue na kama kujipanga ajipange kwa kuhudumia sasa unamshtukiza ulijua bajet yake????? mmhh anyway tumetofautiana kwa kwel..
 
kwa lipi ulilonalo mpaka nilazimishe mazoea na jiheshimu huwa sina muda wa kujibizana na mwanamke na hapo juu nimejaribu kukurekebisha uache utoto.
Unatamanije niwe mtoto af ndo huwezi sasa!
Maskini!
Nikusaidieje sijui!
 
Ahahahahahahaha Kule home yale mashudu yaliyolowa na mvua huwa tunayafanyaje?
 
Ooooh !
Pure Brotherly
My late brother ilikuwa anakuscold kwanza af anafungua mikono kukuhug hata uwe umeboronga viiipi!
Nakoz kwanza thn comes those mikono mipana na kifua cha kukuruhusu ulie weeeeee af anakupa mchongo!
How I miss him!

Unajua nini mimi kaka yangu hatujapishana sana sasa tumekuwa tukijibangaizia tu saa nyingine tunapigwa wote tunalia weee lakini leo tumekuwa na tuna wadogo zetu so nikasema wadogo zangu hell no kuteswa kingese, might kill some one real dead!!!!!

So am the shield come what may!!!!!

You have me now hunie!!!!!
 

Lakini alikuja kujua kua nina mimba na akaniambia hongera sijui nani kamroga sasa hivi.
 
Hivi mkuu snowhite inawezekana mwanamke akajifungua jana na akawa na uwezo wa kuingia mtandaoni na kupost habari?

Ndugu, kwani mtandao unahitaji nini zaidi ya simu ya kiganjani? Hujaona siku hizi watu wana upload picha immediately baada ya delivery?
 
naona unawashwa.

Ona sasa!
Watu kwa kuongea kinyume !
Nimekuskia mwaya
Sema nini, chukua karatasi litengeneze kama filter hiv,aaf kamata ka Nzi!muweke humo then fanya kufungua zipu Kisha weka hiyo filter!
Relaaaax shida yako itaisha fasta!
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…