I dont want it

I dont want it

huggies

Member
Joined
Jul 1, 2014
Posts
54
Reaction score
1
Habari,nashukuru mungu jana nijifungua salama mtoto wa kike ila baba yake kaniambia i dont want it and i have nothing to do with it.Nimelia sana nimeumia sana sijui hata nifanyaje mwenzeni anadai kua kwa nini siku mwambia mapema kua mimi ni mjamzito nikweli siku mwambia mapema sababu sikutaka kumtisha na sikutaka afikiri nilitaka kupata mimba kwa kili nilipopima the test always came negative mbaka nilipoamua kuenda hospitali.Sikuitoa sababu kwa imani niliyo nayo kwa mimi si kitu rahisi.Nimejaribu kumuelewesha,kumuomba na kumbembeleza pia lakini waapi kabadirika sio yule tena.Kumpenda na mpenda sana yani nashindwa kuelewa nifanyaje sasa nimemuomba basi tusaidiane kulea mtoto nakubali relationship iishe mtoto sio wangu peke yangu.Siku zote nilikua careful yani hata siku iliyokua safe sikutaka akojoe ndani sasa sijui what happened. Nampeda sana na natamani tungelea binti yetu pamoja kama kuna uwezekano.Jamani members wa humu naomba mniambie nifanyaje na nimuambie ni nini huyu mtu maana mimi maneno yameisha also mnishauri nifanyaje am really hopeless right now.I wish ningekua na maneno makali ya kumgusa moyo wake.kejeli na matusi sitaki..
 
aisee pole sana....wataalamu wa ushauri watasema neno
 
Pole sana na hongera kujifungua mtoto(kama ni kweli),
Vipi huwezo wa kumlea mtoto huna?
 
Ni nani yako huyo
Mumeo?
Mchepuko?
Boyfriend?
Mchumba?
Mpenzi?
Sex partner?
Mshkaji tu?

maswali ya kipumbavu kipi ambacho hujaelewa hapo au unafurahia matatizo ya mwenzako.
 
Kwa uzoefu wangu

Let it go,usimlazimishe hata kidogo,akili itamkaa vizuri atarudi tu.

Kwa sasa cha kufanya lea mwanao wala usitake kumkomoa kwa kumletea fujo,wewe mpe updates tu za mtoto anavyo endelea ila usimuombe hata senti wala kumpa demands zozote zile,
 
maswali ya kipumbavu kipi ambacho hujaelewa hapo au unafurahia matatizo ya mwenzako.

Unatamani nikubadilshie siku enh?
Uzur mi siandiki matusi ila nitakutukana mpk utafute choo jirani ujichungulie jinsia yako .
ENDELEA!
 
Hivi mkuu snowhite inawezekana mwanamke akajifungua jana na akawa na uwezo wa kuingia mtandaoni na kupost habari?
Well inawezekana .
Pengine yuko stressed sana!
Ila mi namwazia Huyo kichanga maskini!
Atashindwa kunyonyesha since maziwa yatakauka!
Changamoto za kimaisha zipo za aina nying tunatofautiana namna ya kuzikabili!
La msingi ajue the baby needs her now kuliko yeye anavyomhitaji huyo mwamaume!
 
Last edited by a moderator:
Nikwambie kitu!
Pita hiviiiiii>>>>>>>>>>>
Mbele utakuta kibao kimeandikwa IGNORE LIST!
BOFYA HAPO!
sawa enh?
Vinginevyo utaikimbia hiyo ID yako!


wewe unikimbize humu? kwa lipi ulilo nalo la kunikimbiza humu.
 
Mama mtoto!
Mistake ilishafanyika!
But mtoto wako is never a mistake!
Kuwa baba na mama kwa Huyo binti unaweza ukiamua!
Bado Lakin maswali niliyokuuliza yanahitaji majibu ili tujue tuna deal na tatizo kwa position ipi!
 
ina maana alikua hajui kama una mimba hadi ulivyojifungua.........

there is always a way usivunjike moyo
 
Nikwambie kitu!
Pita hiviiiiii>>>>>>>>>>>
Mbele utakuta kibao kimeandikwa IGNORE LIST!
BOFYA HAPO!
sawa enh?
Vinginevyo utaikimbia hiyo ID yako!

Huwezi jua yuko kwenye hali gani mpaka akaamua kuandika hapa kuomba ushauri lakini wewe ulivyo na akili unakuja kuuliza maswali ya kijinga kijinga hapo baadala ya kumtia moyo dada wa watu halafu ukiambiwa ukweli unaleta vitisho vyako hapa eti unikimbize humu kwa lipi ulilo nalo wewe, jiheshimu.
 
Back
Top Bottom