Monda kubwa
Senior Member
- Jun 20, 2019
- 121
- 158
- Thread starter
- #21
Mods futeni huuu Uzi maana title imeingia ambayo sio yangu.Mimi roho ilikataa kuchukua vitu nilivyomnunulia mpenzi wangu baada ya kushndwana. Niliondoka kimya kimya maana alipata boya mwingine. Baada ya kumwambia najiweka pemben baada ya siku mbili katuma text eti "ulikuja kwangu ukachukua vitu flan flan? Nikamjibu Mimi sijaja kwako. Sikujua alimaanisha nini lakin roho ilikataa kabisa ingawaje alinifanyia visa sana. Mabagaria mnaona je hapa?