I Dont Think is Fremason Sign What Do You Say?

mfupa2

Member
Apr 24, 2012
13
5
illusions03.jpg

people thing this is Fremason Stuffs What do You say?
 
Duh...inaweza kuwa....naona vichwa 8 vya watu..angalia kwa makini juu ya huo mlango na kona zake....kichwa cha huyu babu kuna watu 2 mwanaume na mwanamke amebeba mtoto.....
 
Freemason kivipi? Mi naona Sura tano hapo (juu bembezoni mwa round ya geti) ikiwemo ya huyo babu getini (Picha kubwa), Mwanamke mwenye Mtoto, Mzee mwenye Kofia, mbwa aliyelala na Geti
 
The FM has its own signs. Do not answer if you do not know.
 
This image is complicated sana! Hata kule mlangoni kwenye post ya kulia kuna kichwa cha mwanamke
 
View attachment 52652

people thing this is Fremason Stuffs What do You say?
.
Mkuu, sasa hapo u-freemason unatoka wapi kwenye hii picha? ... its just an image ambayo ina-illusion ambapo kuna various faces na wewe unatakiwa uzi-identify na kusema jumla yake. Naona kuna watu wamejaribu kusema ziko tatu sijui nne n.k .... mimi nimezionyesha zote sura 10

Sasa nyie watu siku hizi kila kitu mnasema ni Free-mason!

Attn: mfupa2 client3 sister magnetic Kimokole Tripo9 jumbenylon Vinci Endangered deejay-nasmile Annael Paul-kijoka Kingmairo

faces_illusion.jpg

Last edited by a moderator:
Dotworld,
I am thrilled kwa umakini wako, if it is so kwamba umechunguza mpaka umeona.
Ila kama umeispot from a certain source, let us know.

By the way, mimi nadhani huwa kuna figurative meaning apart from what we are seeing. It is not as simple as we might think, naamini huwa huwa a specific reason and definition. Though it might not be a masonic one.

Kwani hii picha inaitwaje?
 
lean on the side of the LORD and HE shall give you the nice way to pass through..!
 
.
Mkuu, sasa hapo u-freemason unatoka wapi kwenye hii picha? ... its just an image ambayo ina-illusion ambapo kuna various faces na wewe unatakiwa uzi-identify na kusema jumla yake. Naona kuna watu wamejaribu kusema ziko tatu sijui nne n.k .... mimi nimezionyesha zote sura 10

Sasa nyie watu siku hizi kila kitu mnasema ni Free-mason!

Attn: mfupa2 client3 sister magnetic Kimokole Tripo9 jumbenylon Vinci Endangered deejay-nasmile Annael Paul-kijoka Kingmairo

faces_illusion.jpg

Mkuu hapo kwenye attn: mbona umenitaja..... Unamaana gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom