I dont know whether to laugh or cry mie Karucee daaaah

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,179
Reaction score
34,435
Ee bwana mie Karucee mie, yananikutaga mengi under the sun kwa kweli. I wonder if it is the same for everyone else. sigh!! Juzi bwana nakatiza mitaa ya Kkoo jioni sana kwenye saa moja. Katika purukushani na vurugu za watu kupishana na magari pikipiki etc etc. Nikamkanyaga babu mmoja. I felt so bad. He was an old chap of at least 70. Nikasimama kumuomba samahani. I must have had a teardrop or two because I felt so bad. Mzee samahani sana babangu. Sio kusudi naomba nisamehe. EE bwana the dude grabbed my ass!!!! Tena akaniambia I don't mind. Tunaombaga tukanyagwe hasa na mtoto mzuri kama wewe. I could not believe my ears. Nikabaki nashangaa hapo hapo with his hands on my ass. He pinched my ass again. Ile nageuka kuondoka in disbelief akawa ananifata nyuma huku anatembea fasta ameshika kifimbo chake so he pokes my ass na huku anaita kwa sauti aaaah mtoto mzuriiiii njooooooo. I swear I was embarrassed!! May this week come to an end peacefully jamaniiiii.
 
vibabu vya siku hz ni noma!
sasa ungejifanya na we mtoto wa mjini uone balaa lake!
 
Hawa vijana wa zamani kuna kitu kikubwa walimisi enzi zao wakati wa sketi za marinda na magauni kama kanzu.
siku izi skin jeans na pedo zinawatesa sana x-vijana hawa.
 
Ha ha ha ha, napigia picha jinsi kanavyo-poke ur :love:ass na fimbo yake.
 
you must be gorgeous kumtamanisha babu wa 70+. take it as compliment from him
 
Hawa vijana wa zamani kuna kitu kikubwa walimisi enzi zao wakati wa sketi za marinda na magauni kama kanzu.
siku izi skin jeans na pedo zinawatesa sana x-vijana hawa.
hahahaaaaaaa
 
unaweza ukakutana na mzee ile unawaza kupiga magoti umwamkie unasikia mambo mtoto mzuri! unakosa jibu kabisa
 
Karucee vibabu vya mjini hivyo kama kina joti.
 
Last edited by a moderator:
Pole Karucee dear. But these old players ain't a joke. Una bahati uliondoka, that old cat ungempa nafasi angekuimbisha...old niggaz be licking his lips and stuff. Hahaha.
 
the the the. Blaine I know you mean well but seriously 70? Ningemtamanisha KIKUNGU mfano ningeona compliment but a man at that age is hardly a compliment. Remember his eyesight is failing him.

We mbaya kwani, na hy ass yk haijawa highly exposed to toward ua rear hadi useme his sight is impaired
 
Last edited by a moderator:
Ng'ombe hazeeki maini!

Ee bwana mie Karucee mie, yananikutaga mengi under the sun kwa kweli. I wonder if it is the same for everyone else. sigh!! Juzi bwana nakatiza mitaa ya Kkoo jioni sana kwenye saa moja. Katika purukushani na vurugu za watu kupishana na magari pikipiki etc etc. Nikamkanyaga babu mmoja. I felt so bad. He was an old chap of at least 70. Nikasimama kumuomba samahani. I must have had a teardrop or two because I felt so bad. Mzee samahani sana babangu. Sio kusudi naomba nisamehe. EE bwana the dude grabbed my ass!!!! Tena akaniambia I don't mind. Tunaombaga tukanyagwe hasa na mtoto mzuri kama wewe. I could not believe my ears. Nikabaki nashangaa hapo hapo with his hands on my ass. He pinched my ass again. Ile nageuka kuondoka in disbelief akawa ananifata nyuma huku anatembea fasta ameshika kifimbo chake so he pokes my ass na huku anaita kwa sauti aaaah mtoto mzuriiiii njooooooo. I swear I was embarrassed!! May this week come to an end peacefully jamaniiiii.
 
Kwani hujawai ku do na mzee bwana acha kutuzingua
 
Back
Top Bottom