Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,457
Mkuu nakuelewa sana hapa na sio wewe pekee ushawahi fikiria mambo haya.. I'm here too..Bless up bro, sometime nafikiria kwamba am too weak to fit in this World.
Namsubiri jamaa kwenye frem yake ni fundi simu ndo nimuuzie hii, but thanks broMkuu nakuelewa sana hapa na sio wewe pekee ushawahi fikiria mambo haya.. I'm here too..
But mkuu you're soo strong than you think..kama umeweza hadi kuwa na frem somewhere basi uko mbali sana. Kuna wengine hawana uwezo hata wa kumiliki kigenge.. kua mvumilivu tu ni maisha yametaka yakuonyeshe upande mwingine wa maisha.
Mkuu nakuelewa sana hapa na sio wewe pekee ushawahi fikiria mambo haya.. I'm here too..
But mkuu you're soo strong than you think..kama umeweza hadi kuwa na frem somewhere basi uko mbali sana. Kuna wengine hawana uwezo hata wa kumiliki kigenge.. kua mvumilivu tu ni maisha yametaka yakuonyeshe upande mwingine wa maisha.
Ukiona hivyo ujue kuna mahali umekosea. Lakini hilo si tatizo maana tunajifunza kutokana na makosa. Na hivyo basi utakuwa umeshajua mahali ulipo kosea. Nyanyuka, Jipange, Songa mbele.
Unless una ulemavu fulani, lakini kama umekamilika...huna shida. Ni swala la kujipanga tu.